Monday, September 23, 2024

Jinsi Kijana wangu Alivyoteperi Sh 2,300,000


 *Jinsi Kijana Wangu Alivyoteperi Sh 2,300,000/= Kwa kupuuza Maelekezo Niliyompa..* 


Mwezi Wa Tano 2024 kijana wangu alipigiwa simu na mateperi na kupewa Maelekezo ..akaperiwa Sh.2 3 M..


Ila siku chache kabla ya tukio..tulikaa wote


 nikamusimlia jinsi jirani angu alivyo taperiwa ..kwa,njia hiyo hiyo ambayo alikuja kutaperi na yeye..


Kiufupi aliambiwa na mataperi  kuwa kuna bonus  atakiwa apewe kwenye lain zote za kazi..


Hivyo abonyeze tarakimu..


1,2,3,4,5,6,7 akabonyeza akizani ni namba tu..


Kumbe ndo hela hizo = Sh.1,234,567/=

Akasibitisha..

Zikatoka..


Ndo Akasituka..

Ila..


Wakamwambia amekosea ndo maana zimetoka  hivyo wanataka kumrudushia hizo hela ..


Dogo..akawasiliza tena..


Wakamwabia ili zirudi kwake abonyeze..


4,4,4,4,4 ,4 kisha athibitishe..na namba ya siri..


Kumbe ndo hela nyingi wanazidi kuchota..


Wakaendelea lain zingine .

Mpaka ikafka ..2.5 M ilikuwa kwenye lain za kazi kama flot..


Kiufupi ilikuwa hivo..


Ila chambo la kushangaza..ni kwamba


Mimi nilimutahadhatusha sana kwa msisitizo hivo hivo walivyomfanyia..kwamba ..


Mateperi watakupigia simu ubonyeze namba 12345678 nk..usiwasilize na wala ..


Usipokee simu yoyote kwenye lain za kazi..


Kama sio namba 100


Akasema sawa..


Chaajabu..alikuja kufanya yale yale niliyomkataza..


Nilibakiwa na nusu ya mtaji ..ambazo zilikuwa cashi na vocha tu..


Kutoka 5M hadi 2.5M


Na hapa nataka  niongee mambo mawili tu na wewe unasoma mkasa huu..


Ambayo nii..


๐Ÿ‘‰ Popote pale utapokuwa kuwa utamweleza kitu mtu yoyote hasa mfanyakazi au mwanao usipumbazike kwamba amekusikia kwa sababu tu umeongea nae..


Hasa vijana wanaokulia..

Usiwaamini hata kidogo..


Wanapenda kufuata utashi wao wenyewe hata kwa vitu ambavyo ni Risky ..na havihitaji kufanyiwa Majaribio..



✅✅


Ukimpa kijana akusadie kazi ya hela au kazi yetii ..


Hakikisha una mmonita ..

 Kwa ukarbu..


Daa..niishie hapo..


Ukiweza share kwa wengine..


Ni mimi Wakala yule yule..unayemfahamu..


MR.BROWN

Saturday, September 14, 2024

Jinsi Wakala Mdada Alivyo Taperiwa Sh.800,000


 **Jinsi Wakala Mdada Alivyo Taperiwa Sh.800,000/=* 


Nimeichukua sehemu..

Nikaona kuna mtu inaweza kumsaidi..


Ni hivii...


Miaka Kadhaa iliyopita kuna dada mmoja alitapeliwa hela 800,000 (laki nane).


Mkasa wake ulikua hivi.


Ofisi yake ipo  karibu na seheme ya kutengezea magari (gereji), 

.

kuna mteja alikuwa anaenda pale Ofisini kutoa hela, huwa anatoa hela nyingi tu 100,000 kwenda mbele.


Anampa simu yule mdada atoe hela then anamuambia chukua 5,000 kunywa soda,


 akawa na muendelezo huo huo anatoa hela anamuachia 10,000 kunywa soda (sasa sijui soda gani inauzwa 10,000 wanawake wenyewe mnajua (Jokes ๐Ÿ˜‚).


Akitoa hela anaenda pale gereji, mwishowe akajitambulisha kwa yule mdada kuwa yeye ni miungoni mwa watu wa pale gereji.


Kuna siku akaja na simu akamuambia angalia salio dada na . ...


namba ya siri anaijua ya mteja wake wa thamani, baada ya kuweka namba ya siri akaona kuna zaidi ya Milioni moja, akamuambia toa 800,000.


Wakati yupo kwenye process za kutoa hela simu ikaita, ikabidi arudishe kwa mteja simu yako inaita.


Mteja akapokea na kumuuliza yule mtu upo hapo gereji ? Basi natoa hapa kwa wakala dakika moja nakuletea.


Baada ya hapo akakata simu akamuambia nipe  800,000 endelea kutoa hapo mimi nampelekea jamaa halafu nakuja kuchukua simu, dada alimuamini sana yule mteja akampa.


Akashika simu aendelee kutoa kila akitoa anaambiwa namba ya siri sio sahihi, 


akaanza kupagawa akaenda gereji hakuna mtu, akauliza kwa watu wa pale wakasema hawamjui.


Basi dada akauziwa kitochi kwa 800,000.


Funzo kwa wadada mlio amua kufanyakazi ya kuchezea hela asubuhi hadi jioni kuweni makini sana


 usione mtu anakuachia vi 2,000,na  5,000 unywe soda ukajua labda anakutaka anashindwa kukuambia, NO,


 wengine wanatumia hizo mbinu hizo kwa manufaa ya kupata zaidi ya hiyo anayokupa baadae.


Natumaini kuna mtu itamsaidia 


Wakala yule yule unayemfahamu 


MR.BROWN

Kwanini Hupaswi Kupanga Frem Kama Wewe Ni WAKALA PURE

 


*CHECK SIRI HII Kwa nini Hupaswi Kupanga Frem Kama wewe ni WAKALA PURE..* 


Ndio wakala PURE usipange fremu..nzima..


Kabla sikwambia kwanini..


Naomba tufahamu wakala PURE ni nani..


Ni..wakala ambaye una fanya Mihamala tu basi ..ofsni kwako..


Hakuna cha stationery..


Wala vinywaji..wala kitu Kingine chochote..


Zaidi ya Mihamala ya kutoa na kuweka kulipia  bill na kuuza voda ...


Uzuri mimi mwenyewe ni wakala PURE..


So sababu ya kuepuka fremu ni hii hapa...


Kwa jinsi nilivyojionea..ukiweka fremu..na nikaweka..


Kibanda safi..cha aluminium.. 


Sehemu moja...


Wateja wengi..watakuja moja kwa moja kwenye Kibanda cha aluminium.. 


Kwa sababu  kipo Mahususi kabsa  kwa ajili ya Mihamala Tofauti na Frem ambayo ..


Wakati mwingine ni maandishi yameandika mlangoni...tu..ya..


Mpesa tigo pesa Halo.. 


Kumbe wakati mwingine hata hakuna huduma.


Unafamu fremu nyingi ziko hivo..


Na..


Mteja hataki kujichosha..


Kwahiyo..

Kibanda safi cha aluminium 


Ndio..unapaswa utumie kama wewe ni wakala PURE...


Na nirahisi kukibanza..sehemu nzuri yenye mzunguuko wa Mihamala mingi ya kutoa..


Kuliko kupata fremu sehemu kama hizo..


Hata hivyo..fremu utalizimika kulipia TRA..jiji..


Nk..


Hivyo,..tafuta eneo zuri katikati  la kujibanza..na Kibanda safii cha aluminium.. 


Natumia hii itakusaidia pia kama ilivyonisaidia mimi


Wakala yule yule unayemfahamu..


MR.BROWN

Tuesday, August 27, 2024

BOFYA HAPA SASAHIVI Kufahamu Zaidi



 *SABABU2 kwanini Mawakala Wana CHARGE Hela Kumtolea Mteja pesa iliyotumwa Kwa Message..* 

.

 ๐Ÿ‘‰#1 Mteja hawezi kuitoa Mwenyewe pesa iyotumwa kwake kwa njia ya message..

.

Hii ni kwa sababu laini ya simu inayotumika kuitoa ni ya wakala sio ya Mteja..

.

Hivyo Mteja hawezi kuitoa wala kuituma au kuitumia 

.

Wala kuifanyia chochote zaidi kwenda kwa wakala ili wakala ndo amtolee..

.

Na pia Zikipita siku7 bila kuitoa inarudi kwa aliyeituma..

.

Hivyo Mteja hawezi kulinga ni kama kumsaidia tu


๐Ÿ‘‰#2 Inakula mda wa wakala..

.

Kwasababu inakulazimu wakala wewe ndo uingie kwenye menyu yako ya Till 

.

Uingize 

Namba ya simu ya aliyetumiwa..Neno la siri la kutolea , kiasi (Airtel) ,

.

Kana kwamba wewe wakala ndo unatoa pesa..

.

Milolongo yote hiyo..inachukua mda wa wakala Tofauti na mteja mwingine anayetoa mwenyewe..moja kwa moja..


So..wakala anaona kwa kazi hiyo ya ziada sio mbaya akimchaji mteja angalau kidogo..

.


By the way, Kama uko interested Kujifunza Zaidi 

.

Somo kamili la..

.

 _"Jinsi ya Kutoa Pesa Iliyotumwa Kwa Message "_ 

.

Basi LEO utajifunza Maeneo haya 4 ambayo ni..

.


✅Jinsi ya Kutoa Pesa Iliyotumwa Kwa Message 

Wakala Wa M-PESA 

.

✅Jinsi ya Kutoa Pesa Iliyotumwa Kwa Message 

Wakala Wa AitelMoney 

.

✅Jinsi ya Kutoa Pesa Iliyotumwa Kwa Message 

Wakala Wa HaloPesa 

.

✅ Jinsi ya Kufanya ili Umtumie Mtu Pesa kwa Njia ya Message ili atoe Bure Kwa Wakala 

.

Na Utapata BURE ..

.

⏩PDF inayokuonesha hatua za Kufuata Kutoa pesa kwa message mitandao yote 

.

⏩VIDEO Fupi inayokuonesha Jinsi Ya kutoa pesa kwa message mitandao yote 

.

⏩PDF inayokuonesha Jinsi Ya Kufanya ili Umtumie Mtu Pesa kwa Njia ya message 

.

⏩VIDEO Fupi inayokuonesha

Njisi ya kufanya ili Umtumie Mtu Pesa kwa Njia ya message..

.

PLUS..


 Kama Ni wakala mpya au unataka kuanza Uwakala..

.

Utapata BURE..

.

✅CHART3 za makato Ya lipa na jinsi ya wewe kumkata Mteja kwa mitandao Yote 

.

✅CHART6 za makato ya Kutuma na Kutoa kwa mitandao Yote ya simu.

.

✅NAMBA Za watoa huduma Dawati la wakala Mitandao yote 

.

✅Jinsi ya Kufanya ili Lipa yako ya voda na Tigo ISIWE inaleta NAMBA BILA JINA kwa mteja wa airtel Anapolipa Kuja voda na Tigo..

.

NA..

.

THAMANI ya SOMO lote Kamili ni ..

.

Ni SH.10,000/=

.

ILA..

.

Kwa sababu mimi pia ni wakala kama wewe na..

.

 nialinza Uwakala kwa kusaidiwa na wengine..

.

Naweza kukusaidia pia kwa..Gharama kidogo ya..

.

SH.4,999/= TU Badala ya Elfu10k

.

 Hivyo kama Unatamani kujifunza haya yote..Leo na..

.

Una amini kuwa yatakusaidia ..kwenye Uwakala..

.

Lipia SASAIVI...


.

Sh.4,999/= TU


Voda: 0764-962-052

Airtel :0685-855-562

.

Jina: BROWN PAULO 

.

Kisha nitumie Ujumbe WhatsApp..


๐Ÿ‘‰0757967954 (watsap)

.

Nikupe sasaivi somo lote kamili na Bonus zake 

.

PS.


Mwisho wa OFA ya kulipia 

 Sh.4999/= pamoja na BONAS zake ni ..


 LEO saa sita usiku..

.

wako ..

.

Mawakala Mwaminifu 

.

BROWN PAULO

Sunday, August 25, 2024

BONYEZA HAPA SASAHIVI Kufahamu Zaidi


*Jinsi Nilivyo Pata NJIA Ya Kuingiza FaidaX5 Papo Kwa Papo Mkononi Kwa...* 

.

 Kila Mhamala Wa Kutoa..

.

Je wewe ni wakala Tayari au Unatamani Kuanza Uwakala?


Kama Jibu lako ni "NDIO "


Basi Soma ujumbe huu mpaka mwisho..


Kitu cha kwanza kufahamu ni kwamba...


 99% Ya Mawakala Tanzania Hawajui Wala Hawatumii SIRI Unayokwenda Kujifunza LEO..


NA PIA..


Nakuhakikishia Mambo Haya Mawili ..


#1 Kamwe HUTOKUTANA na Maelekezo Yoyote Ambayo wewe Huwezi Kufanya Kuingiza FAIDA X5 kwa kila mhamala 


Badala Yake ni..


Kila kitu KIMERAHISISHWA Na kipo ndani ya uwezo wako hata kama hujuii chochote Kuhusu Uwakala 


        #2 Kwamwe HUTASHINDWA Tena

     Kuingiza Angalau ELFU50K kila Siku…

papo kwa papo mkononi..


 Sio Tena Kusubiria hadi Mwisho Wa mwezi..


Hii inawezekana 100% Tu 


Kupitia..


NJIA RAHISI Ya uhakika Kuingiza FaidaX5 Kwa Kila mhamala


Wa Kutoa ambayo..99% Ya wakala hawaijui wala hawaitumii..


Isipokuwa tu mimi na mawakala baadhi ambao nimeshawafundisha tayari..


LAKINI...


Kwanza Tufahamiane kidogo..


Naitwa BROWN PAULO 


Naishi Mbeya Jiji nafanyia shughuli zangu za uwakala 


Sokuu la MWANJERWA na Stand Ya KABWE Mbeya..


Hapa ni moja ya ofsini yangu yangu..ya M-pesa 



Na picha hii chini..

Grupu letu..la Wakala Zaidi ya 600

Ambao Nawasaidia..Kutatua Changamoto Zao ikiwemo na hili la kuingiza FAIDAx5 





Kwa ufupi sana nikupe huu ushuhuda..


 maranyingi sana..

 

Huwa natafakari njisi gani..


 ningekuwa na teseka ndani ya mji huu wa MBEYA na..

.

 kazi hii ya Mpesa..

.

Kwa mtu kama mimi ambaye ni "UWAKALA PURE"

.

Yaani hakuna cha vinywaji au Bidhaa nyingine yoyote ofsni.. ..ila full Mihamala tu..

.

Isingekuwa Neema ya Mungu..ya KUJUA mapema NJIA hii inayoniingizia FAIDAX5 Kwa kila mhamala 

.

Ambayo..kwa kweli...

.

Bila hii njia .sizani kama singe mudu..life la mji huu..

.

Kwa ..


Ushindani wa mawakala waliotapakaa kila kona 


Ukizingatia pia..


nilisha achaaga kazi ya ualimu ni zaidi ya mwaka na miezi 9 ..

.

Na niliapa kutorudii...

.

Plus familia na watoto nilio nao..

.

Lakini Kupitia NJIA hii ya kuingiza FAIDAx5 niliyojifunza mapema 

.

Naitumia Kupiga hatua kila siku..


Pamoja na kujitofautisha na wakala wengine..


Na..


Richa ya mtaji mdogo nilio anza nao bado....

Mtaji wangu uliweza kukua kwa speed X 2 ake..kwa mwezi 


Kwa Sasababu ya kutumia njia hii..ya FAIDAX5 




PIA.


  mawakala nilio wafundisha njia hii wanafunga hesabu yao ya lipa kwa siku.moja ..

.

Hadi 70,000 hadi 100000 kwa siku Mkononi bila kuhesabu Kamisheni..


Angalia wanachokisema hapa..


๐Ÿ‘‡






Na wewe..


Ili utumie Njia hii Kuingiza FaidaX5 Papo Kwa Papo Mkononi kama mimi na wao


Unapaswa kuwa na vitu VIWILI TU Ambavyo ni ..


1️⃣Laini ya Lipa Airtel na..


2️⃣Mashine yoyote ya Ki-Bank 

Isipokuwa Mashine mbili za 

CRDB na NMB hizi mbili Hazitumiki..


Na..


 NJIA HII Ya FAIDAX5 utaitumia Kwa wateja wa mitandao yote Mitano..


Yaani voda ,tigo ,Halo Aitel na halotel..


.

By the way ..

.

Kama una laini ya LIPA AIRTEL na Mashine yoyote ya Ki-bank ambayo SIO CRDB wala NMB ila bado..


 hujafanikiwa kujua NJIA hii ya..


"Kuingiza FAIDA×5 "


Basi UNAKOSA FaidaX5 kwa kila mhamala wa kutoa


Kwa kutojua Kutumia NJIA hii..


NA..


thamani yake halisi ya SOMO hili ni ..

.

Sh.30,000/=

.

ILA..

.

 kwa sababu mimi pia nilikuwa kati ya mawakala walio kuwa..

.

Hawajui Chochote Kuhusu Njia hii basi..

.

Nawapata kama ..ZAWADI

.

Mawakala 11 Tu..

.

Ambao wamegundua kuwa NJIA Hii itawasaidia na ..

.

wana uwezo wa kuilipia...

.

Sh..9000/= TU

.

Badala ya Elfu 30k..

.

Hivyo..Kuepuka KUKOSA KUJUA Njia Hii 

.

Lipia SASAIVI ..


SH.9000/=

.

Kabla ya Ujumbe Huu kutoweka na unaweza usiuone Tena...


Namba Za Kulipia

.

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

.

Airtel : 0685-855-562

Voda : 0764-962-052


Jina: BROWN PAULO..

.

 *Kisha nitumie Ujumbe WhatsApp Nikupe somo Sasahivi..* 

.*

WhatsApp namba 

๐Ÿ‘‡

0757967954 


PS..

.

Ukilipia saivi..utapata BURE na

.

BONASI 4 zifuatazo..


✅Somo la NJIA mbadala Kuingiza FAIDAX5 bila kutumia Mashine yoyote ya Kibank wala Lipa Airtel 


(Thamani yake Sh.30,000/=)


✅PDF yangu Sababu5 Za Kukatwa Kamisheni kila mwezi (thamani yake sh.10,000/=)

.

✅Shortcut ya Kumpata Wakala wako mkuu..

.

✅PDF ya Posho7 Za Wakala ...99% Ya mawakala 

hawazijui Wala hawazipati (thamani yake sh.5,000/=)



ONYO !:


Usitume Ujumbe WhatsApp Kama Hujafanya Malipo..

.

Wako Wakala Mwaminifu..

.

BROWN PAULO

Monday, July 15, 2024

Top Ten Schools Form Six Results 2024 Tanzania Necta release form six results 2024



Necta release form six results 2024 where by they mentioned the best schools which perform better than others in form six results this year, these schools perform highly compared to other:

Top Ten Schools Form Six Results 2024 Tanzania

The top ten schools for Form six results in Tanzania for the year 2023 are as follows:

  1. Kemebos Sekondari, Kagera
  2. Kisimiri Sekondari Arusha
  3. Tabora Boys Sekondari Tabora
  4. Tabora Girls Tabora
  5. Ahmes Sekondari Pwani
  6. Dareda Sekondari Manyara
  7. Nyaishozi Sekondari, Kagera
  8. Mzumbe Sekondari Morogoro
  9. Mkindi, Tanga
  10. Ziba, Tabora

These schools performed exceptionally well in the NECTA Form six results for the year 2024 and make in the list of the best schools for advanced studies in Tanzania compared to other schools

#WAKALA CLINIC 

Sunday, July 14, 2024

TCU Guidebook 2024/25 Academic Year


 Based on the set entry requirements for different entry pathways, 

the Tanzania Commission for Universities prepares an undergraduate admission guidebook with a list of all bachelor degree programmes offered by all higher education institutions in Tanzania.

 Below are the guidebooks with entry requirements for the two entry pathways:

2024/2025 Bachelor's Degree Admission Guidebook for Form Six Applicants


Click or copy and open the link below to DOWNLOAD 

๐Ÿ‘‡

https://mfumowa.com/wp-content/uploads/2024/07/MFUMOWA.COM-Admission-Guidebook-for-Holders-of-Secondary-School-Qualifications_2024_2025.pdf


2024/2025 Bachelor's Degree Admission Guidebook for Ordinary Diploma/Equivalent Applicants


Click the link below to DOWNLOAD 

๐Ÿ‘‡

https://www.tcu.go.tz/sites/default/files/public_notices/2024-07/Admissions%20Guidebook%20for%20Holders%20of%20Diploma%20or%20Equivalent%20Qualifications_2024_2025_0.pdf