JE VODA wanakukataga Kamisheni...?
.
Ukijua Hii SIRI mwiko kukatwa tena..
.
Najua unahasira sana..
.
Juu ya VODA kukukata Commission..
Kwa Sababu kila mwezi..
.
Unajitadi Kweli Kupambana..
.
Ila..
.
Ikifika tu kwenye Tarehe 16 hadi 20 ..
.
Wana *FYEKA* Kamisheni..
.
Wanakubakishia Kidogo..
.
Au ..Wakati wengine
.
Wana Kuwekea hadi DENI kwenye Kamisheni..
.
NA..
.
Hapo jambo la wewe Kufahamu..ni
.
Kwamba ..
.
Sio wewe Tu Unaekatwa ..
.
Ila mawakala wengi kilio ni hicho hocho..
.
NA..
.
Ukweli Hata mimi Walikuwaga Wananikata..
.
Tena mara Mbili Kila mwezi ..
.
Kwenye tarehe 16 hivi walikuwa wana FYEKA 150k na visenti nabaki na 90k..
.
Ikifika tena Siku moja kabla ya kulipwa Kamisheni..
.
Wanani FYEKA tena kama 80k nyingine ..
.
Babaki na 75k hivi
.
Kutoka kwenye Kamisheni yote ya 300k na visenti ..
.
Nalikuwa naambulia 75k..tu
.
SO..
.
Nafahamu vizuri ni jinsi gani ..
.
Inavyo umaga kukatwa Kamisheni..
.
ISIPOKUWA TU..
.
Mimi Niliwaza Tofauti Kidogo..
.
Na ...
.
kuchukua Hatua Sitahiki Mimi kama mimi..
.
Wala Hata sikuwapigia voda simu Kulalamika ..
.
Au kuwauliza tatizo ni nini haswa..
.
Nisikilize Vizuri hapa..
.
Iko hivi..
.
..Sio kwa sababu kwamba labda nilifanya Makosa..
.
Wao wanaiita FRAUD ..
.
HAPANA...
.
ILA..Kwasababu..
.
Taratibu zao wenyewe Zina Ku- FORCE ufanye makosa ..
.
Hata Kama hupendi..
.
Mfano tu..
.
Watakwambia Usimtumie ..
Mteja aliye Mbali..
.
Swali la Kujiuliza wameshindwa Kuweka..
.
Mfumo Una Zuia Mhamala wa Aliye Mbali ?..
.
Ila ..
.
watauruhusu mhamala uende tu ..
.
Ili wakuhesabie kosa badae wakukate Kamisheni..
.
POINT nikwamba ..
.
Tusiwalaumu kwa chochote..kwa sababu
.
Lawama zetu Hazitobadilisha chochote..
.
ILA..
.
Tunapaswa Kufanya yafuatayo..ili kuepuka Kukatwa.. Kamisheni ..
.
NA ..
.
Toka Niaze Kufanya Haya..
.
VODA hawajarudia tena Kunikata kamishenii hata Senti..
.
NA..
.
Ni Vizuri Kwanza Ujue Nini haswa Kinafanya mpaka ukatwe.
.
Na jinsi gani Ufanye sasa..
.
Na haya ndo ..
.
MAKOSA 6 yanayofanya Ukatwe Kamisheni na
.
Jinsi gani ya Kuyaepuka..
.
1️⃣Unavunja Mihamala ya LIPA-
.
..Una Pokea 600k kwenye lipa yako ..
.
Unaigawa mara 2 au Zaidi Kwenye Lipa Zingine ..Kisha unajitolea Kwenye Till ako ili upate Kamisheni zaidi..
.
Hapo unajimaliza..kwasababu VODA..
.
Wana Mfumo wa Kujua chanzo na mzunguuko wote wa Flot inayoingia kwenye till ako..
.
Hivyo EPUKA kuvunja Mihamala ya LIPA
Badala Yake fanya Hivi..
.
Ukikusanya 800k au zaidi kwenye lipa ako
.
Itoe yote mara moja BILA kuigawa kwa kuhamishia lipa nyingine..
.
Kama una lipa zaidi ya moja..
.
Hakikisha kila kila inapokea malipo moja kwa moja kutoka kwa Mteja..
.
sio kutoka kwenye lipa yako nyingine..
.
2️⃣Unahamisha Flot ya VODA Uliyopokea Kwa Wakala kwenda Wakala mwingine..
.
Unaingiziwa Flot 500k unahudumia Kidogo wateja wawili au watatu ..kisha
.
Unatoa tena kwa wakala mwingine ...hata Kama unatoa kwa wakala mkuu ..
Bado ni kosa..
.
Kwa sababu lengo la Kuingiziwa Flot na wakala mkuu..
.
ni Wewe Wakala uitumie kuhudumia wateja ..
.
Na sio wewe kuitumia Kidogo tu kisha uitoe tena kwa wakala wenzako..au mkuu..tena
.
Ni kosa hilo kubwa ..
.
Badala Yake fanya Hivi..
.
Flot Utakayoingiziwa na wakala au wakala mkuu..
.
Hakikisha unaitumia yote kuhudumia wateja..hadi iishe yote..
.
Toa tu kwa wakala mkuu Flot iliyo tokana na wateja tu ..
.
sio Ya Ulingiziwa na wakala au wakala mkuu..
NB.
.
Flot iliyotokana na LIPA ni sawa na Flot ya Mteja aliyetoa kawaida..
.
Hivyo haina madhara yoyote kuitoa kwa wakala mkuu ..
Ni salama kabisa..
.
3️⃣EPUKA kabisa Kutolea..
Kwenye Till ako Flot Ya Lipa
.
Kutoka kwenye Lipa Yenye Majina Sawa Na Till yako..
.
Kwa sababu Kwa Kanuni Za VODA Wakala Hupaswi Kutumia Lipa ..
.
Hivyo kujitolea kwenye till yako kutoka kwenye Lipa yako yenye usajiri sawa na Till.. yako
.
Ni kosa la wazi wazi kabsa..
.
Badala Yake fanya Hivi..
.
Tolea lipa Zingine ambazo ni Tofauti na TAARIFA zako za till...
.
ila Kumbuka tu kuvunja Mihamala..
.
4️⃣Unamuwekea mteja Zaidi ya mara moja kwa siku..namba hiyo hiyo..
.
Hili ni kosa kubwa..
Na asikudanganye mtu..
.
Eti mwisho mara tatu kwa siku.. HAPANA..
.
Ni mimi sikwambii ni mara ngapi kwa siku..
.
Ila ..kama Hutaki kufanyia Kamisheni hewa ..
.
Usirudie kutuma Mhamala wowote zaidi ya mara moja kwa siku..
.
Mteja akirudi tena..Kuweka kwa namba uliyokwisha weka siku hiyo...
.
Mwelekeze tu. Kisitaarabu kwa wakala mwingine...
.
Acha taamaa au huruma ya hasara itakuponza..
.
5️⃣Unaweka kwa Wateja walio Mbali ..
.
Na hapa elewa kwamba ..
.
Tunaposema Mteja aliye mbali ..
.
hatumaanishi Tu Aliye mkoa au wilaya nyingine..tu..
.
Hata aliye mkoa uliko au wilaya anaweza kuwa mbali pia..
.
Kwa sababu..
.
hapa kigezo kinachotumika ni MINARA..
.
Tambua kila eneo lina mnara wake ..
.
Hivyo Wakala Ukituma pesa kwa mteja aliye Na eneo la MNARA uliko mda huo..
.
Basi huyo pia ni mteja aliye mbali..
.
Kwa kwa Kanuni za voda..
.
Hilo ni kosa kabsa..
.
Kwa sababu..
.
Kanuni Zinakutaka wakala
Umwekea mteja..aliyepo
.
hapo hapo eneo lako la kazi..
.
Na hapa naomba uelewa kwa nini Wameweka kanuni hii..
.
#1 Ukimuwekea mteja aliye mbali Unawakosesha hela ..
.
Kwa sababu..aliye mbali wanataka atumiwe na mteja mwenyewe kwenye simu simu ake.
.
Ili wamkate mteja kwanza uliyemwekea anavyotuma..
.
Kisha na kule anakotuma wakate anavyotoa au kutuma tena..
.
Hivyo Kanuni hii Ni FAIDA kwa mtandao..
.
Hivyo unavyoivunja kanuni hii ni Kosa ..Unawakosesha FAIDA..
.
Na Wataichukua pesa yao kwa kukukata Kamisheni..yako
.
#2 Ukimuwekea mteja aliye mbali Sio Salama kwako wakala (Ni Risky)..
.
Ndo zile kesi ..mara mteja anarudi kwako anakwambia haijafka..
.
Bahati mbaya..umefuta na ujumbe..
.
Vi vile tu wengi hatujui ..ila
Mambo ya fedha hayahitaji ushikaji wala kuchukulia poa..
.
Ndio maana mawakala tunakubwa sana na vikesi vingi ofsni kwa sababu ya ...
.
Taamaa ya kutaka kujipatia FAIDA tu na kupuuza ..
.
Kanuni na Taratibu..
.
Badala Yake fanya Hivi..
.
Mwambie kabsa mteja bila kupepesa macho. ..
.
Kwamba Unapaswa Kumuwekea kwenye namba ake..
.
kisha yeye atamtumia mtu anayetaka kumtumia..
LAKINI..
.
Niwe tu mkweli Kanuni hii
Ni ngumu..Kuifuta..
.
Na sio Mara zote VODA..
Kukata Kamisheni..
Kwa sababu hii..
.
Ila ..
.
Wakiamua Wanakata..
.
Kwa sababu wewe Mwenye ni shahidi..
.
Kuna kipindi walikuwa hawakukati Kamisheni ..
.
na ulikuwa unatuma kwa mteja yeyote hata aliye mbali..
.
Sasa DAWA yake ni nini haswa?..
.
Ni wewe kuchagua Ufuate..Kanuni
.
ILI..
.
utakachokipata hata Kama ni kidogo ukipate chochote..
.
Au ufanye unavyopenda..
ILA..
.
VODA wakikata Kamisheni yako..Uwe mpole..
Usilalamike...
Huu ndo Ushauri wangu kwako wakala..
Na..
Usichoke Kujifunza..
Hivyo..
Endelea Kugundua SIRI..
Nyingine Kuhusu Uwakala Kwa ..
Kufungua Posts Zingine Zinazofuata..
Chini baada ya Hii..
Mimi Ushauri wangu kwako ni huo..
0 comments: