Monday, July 15, 2024

Top Ten Schools Form Six Results 2024 Tanzania Necta release form six results 2024



Necta release form six results 2024 where by they mentioned the best schools which perform better than others in form six results this year, these schools perform highly compared to other:

Top Ten Schools Form Six Results 2024 Tanzania

The top ten schools for Form six results in Tanzania for the year 2023 are as follows:

  1. Kemebos Sekondari, Kagera
  2. Kisimiri Sekondari Arusha
  3. Tabora Boys Sekondari Tabora
  4. Tabora Girls Tabora
  5. Ahmes Sekondari Pwani
  6. Dareda Sekondari Manyara
  7. Nyaishozi Sekondari, Kagera
  8. Mzumbe Sekondari Morogoro
  9. Mkindi, Tanga
  10. Ziba, Tabora

These schools performed exceptionally well in the NECTA Form six results for the year 2024 and make in the list of the best schools for advanced studies in Tanzania compared to other schools

#WAKALA CLINIC 

Sunday, July 14, 2024

TCU Guidebook 2024/25 Academic Year


 Based on the set entry requirements for different entry pathways, 

the Tanzania Commission for Universities prepares an undergraduate admission guidebook with a list of all bachelor degree programmes offered by all higher education institutions in Tanzania.

 Below are the guidebooks with entry requirements for the two entry pathways:

2024/2025 Bachelor's Degree Admission Guidebook for Form Six Applicants


Click or copy and open the link below to DOWNLOAD 

๐Ÿ‘‡

https://mfumowa.com/wp-content/uploads/2024/07/MFUMOWA.COM-Admission-Guidebook-for-Holders-of-Secondary-School-Qualifications_2024_2025.pdf


2024/2025 Bachelor's Degree Admission Guidebook for Ordinary Diploma/Equivalent Applicants


Click the link below to DOWNLOAD 

๐Ÿ‘‡

https://www.tcu.go.tz/sites/default/files/public_notices/2024-07/Admissions%20Guidebook%20for%20Holders%20of%20Diploma%20or%20Equivalent%20Qualifications_2024_2025_0.pdf

Saturday, July 13, 2024

MATOKEO FORM SIX 111056 WAPASUA


 Matokeo FORM SIX 111056 Wapasua.

#HABARI Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (Form Six) ambao ulifanyika mwezi wa tano mwaka huu ambapo katika tathmini ya jumla ya matokeo hayo imeonesha jumla ya watahiniwa 111,056 wa Shule za kujitegemea sawa na 99.43% ya Watahiniwa wenye matokeo ya mtihani huo wamefaulu.


Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania  NECTA, Dr. Said Mohamed, amesema katika matokeo hayo “Wanawake waliofaulu ni 49,837 sawa na 99.61%,  Wanaume waliofaulu ni 61,219 sawa na 99.28%, mwaka 2023 Watahiniwa waliofaulu walikuwa ni 104,549 sawa na 99.23%, hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa 0.20% ikilinganishwa na mwaka 2023”


“Idadi ya Watahiniwa wa kujitegemea waliofaulu mtihani ni 7,804 sawa na 93.34%, mwaka 2023 Watahiniwa wa kujitegemea 8,539 sawa na 92.30% walifaulu mtihani huo, hivyo ufaulu wa Watahiniwa wa kujitegemea umeongezeka kwa 1.04% ikilinganishwa na mwaka 2023”


#Wakala Clinic

Thursday, July 11, 2024

Serikali Yatangaza Ajira 9, 483 Mwisho Wa Maombi Julai 20, 2024 .

Serikali Yatangaza Ajira 9, 483 Mwisho Wa Maombi Julai 20, 2024

.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma 

.

kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa 

.

inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa 

.

na uwezo wa kujaza nafasi 9,483 kama ilivyoainishwa katika tangazo

Hili..


 


KUMBUKA KU-SHARE ZAIDI KWA NDUGU