*Jinsi Kijana Wangu Alivyoteperi Sh 2,300,000/= Kwa kupuuza Maelekezo Niliyompa..*
Mwezi Wa Tano 2024 kijana wangu alipigiwa simu na mateperi na kupewa Maelekezo ..akaperiwa Sh.2 3 M..
Ila siku chache kabla ya tukio..tulikaa wote
nikamusimlia jinsi jirani angu alivyo taperiwa ..kwa,njia hiyo hiyo ambayo alikuja kutaperi na yeye..
Kiufupi aliambiwa na mataperi kuwa kuna bonus atakiwa apewe kwenye lain zote za kazi..
Hivyo abonyeze tarakimu..
1,2,3,4,5,6,7 akabonyeza akizani ni namba tu..
Kumbe ndo hela hizo = Sh.1,234,567/=
Akasibitisha..
Zikatoka..
Ndo Akasituka..
Ila..
Wakamwambia amekosea ndo maana zimetoka hivyo wanataka kumrudushia hizo hela ..
Dogo..akawasiliza tena..
Wakamwabia ili zirudi kwake abonyeze..
4,4,4,4,4 ,4 kisha athibitishe..na namba ya siri..
Kumbe ndo hela nyingi wanazidi kuchota..
Wakaendelea lain zingine .
Mpaka ikafka ..2.5 M ilikuwa kwenye lain za kazi kama flot..
Kiufupi ilikuwa hivo..
Ila chambo la kushangaza..ni kwamba
Mimi nilimutahadhatusha sana kwa msisitizo hivo hivo walivyomfanyia..kwamba ..
Mateperi watakupigia simu ubonyeze namba 12345678 nk..usiwasilize na wala ..
Usipokee simu yoyote kwenye lain za kazi..
Kama sio namba 100
Akasema sawa..
Chaajabu..alikuja kufanya yale yale niliyomkataza..
Nilibakiwa na nusu ya mtaji ..ambazo zilikuwa cashi na vocha tu..
Kutoka 5M hadi 2.5M
Na hapa nataka niongee mambo mawili tu na wewe unasoma mkasa huu..
Ambayo nii..
๐ Popote pale utapokuwa kuwa utamweleza kitu mtu yoyote hasa mfanyakazi au mwanao usipumbazike kwamba amekusikia kwa sababu tu umeongea nae..
Hasa vijana wanaokulia..
Usiwaamini hata kidogo..
Wanapenda kufuata utashi wao wenyewe hata kwa vitu ambavyo ni Risky ..na havihitaji kufanyiwa Majaribio..
✅✅
Ukimpa kijana akusadie kazi ya hela au kazi yetii ..
Hakikisha una mmonita ..
Kwa ukarbu..
Daa..niishie hapo..
Ukiweza share kwa wengine..
Ni mimi Wakala yule yule..unayemfahamu..
MR.BROWN