Saturday, September 14, 2024

Kwanini Hupaswi Kupanga Frem Kama Wewe Ni WAKALA PURE

 


*CHECK SIRI HII Kwa nini Hupaswi Kupanga Frem Kama wewe ni WAKALA PURE..* 


Ndio wakala PURE usipange fremu..nzima..


Kabla sikwambia kwanini..


Naomba tufahamu wakala PURE ni nani..


Ni..wakala ambaye una fanya Mihamala tu basi ..ofsni kwako..


Hakuna cha stationery..


Wala vinywaji..wala kitu Kingine chochote..


Zaidi ya Mihamala ya kutoa na kuweka kulipia  bill na kuuza voda ...


Uzuri mimi mwenyewe ni wakala PURE..


So sababu ya kuepuka fremu ni hii hapa...


Kwa jinsi nilivyojionea..ukiweka fremu..na nikaweka..


Kibanda safi..cha aluminium.. 


Sehemu moja...


Wateja wengi..watakuja moja kwa moja kwenye Kibanda cha aluminium.. 


Kwa sababu  kipo Mahususi kabsa  kwa ajili ya Mihamala Tofauti na Frem ambayo ..


Wakati mwingine ni maandishi yameandika mlangoni...tu..ya..


Mpesa tigo pesa Halo.. 


Kumbe wakati mwingine hata hakuna huduma.


Unafamu fremu nyingi ziko hivo..


Na..


Mteja hataki kujichosha..


Kwahiyo..

Kibanda safi cha aluminium 


Ndio..unapaswa utumie kama wewe ni wakala PURE...


Na nirahisi kukibanza..sehemu nzuri yenye mzunguuko wa Mihamala mingi ya kutoa..


Kuliko kupata fremu sehemu kama hizo..


Hata hivyo..fremu utalizimika kulipia TRA..jiji..


Nk..


Hivyo,..tafuta eneo zuri katikati  la kujibanza..na Kibanda safii cha aluminium.. 


Natumia hii itakusaidia pia kama ilivyonisaidia mimi


Wakala yule yule unayemfahamu..


MR.BROWN

0 comments: